Uchumi Digital Uchumi Digital
SW | EN
Hatua ya 1
Jaza Taarifa za muhimu
Bonyeza Settings, jaza hizi taarifa mara moja tuu, about business, majina ya bidhaa, majina ya matumizi.
Hatua ya 2
Manunuzi ya bidhaa
Enda sehemu ya Manunuzi ili kununua bidhaa utazokuja kuuza kwa wateja wako
Hatua ya 3
Uza Bidhaa
Enda sehemu ya Mauzo ili kuuza bidhaa ulizonunua
Hatua ya 4
Weka matumizi
Enda sehemu ya Matumizi ili kuweka matumizi ya kila siku
Hatua ya 5
Tazama ripoti
Sehemu ya Ripoti inakupa muhtasari wa mauzo ya kila siku, wiki, na mwezi. Jua faida yako, bidhaa zinazouza zaidi, na wakati mzuri wa biashara.
Unaweza kupakua ripoti kwa PDF au Excel

Fanya Mauzo Bonyeza "Mauzo Mapya", chagua bidhaa na malipo — risiti itatoka mara moja.
Simamia Bidhaa Ongeza bidhaa, weka bei na kiasi — mfumo utakuonya bidhaa zinazokwisha.
Weka Wateja Fuatilia madeni na historia ya ununuzi kwa urahisi.
Ripoti za Biashara Angalia mauzo, faida, na bidhaa zinazouza zaidi — kisha pakua PDF au Excel.
Tumia kama App Bonyeza "Ongeza kwenye skrini ya nyumbani" — inafanya kazi bila intaneti pia.

Karibu! 👋

Ingia katika akaunti yako

Huna akaunti? Jisajili sasa